>Taasisi ya Afya ya Ifakara kwa kushirikiana na ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa, wameamua kuanza kuchukua sampuli za damu za wagonjwa wanaohisiwa kuwa na maambukizi ya homa ya dengue na kwenda kuzifanyia vipimo katika ofisi ya Mkemia Mkuu....
read more...More Sharing ServicesShare| Share on facebookShare on twitterShare on linkedinShare on email
Published By: Mwananchi - 3 days ago