FLOYD MAYWEATHER AWASHINDANISHA WAREMBO WAWILI KUHESABU HARAKA DOLA LAKI MOJA KITANDANI KWAKE


BONDIA Floyd Mayweather ameonesha jeuri ya pesa ndefu baada ya kuchukua warembo wawili na kuwashindanisha kuhesabu pesa zinazofikia dola laki moja akiwa kitandani kwake, huku akitumia saa yake kuangalia nani anahesabu haraka zaidi. Mayweather alishinda mchezo jumamosi iliyopita dhidi ya Marcos Maidana mjini Las Vegas na kuchukua ubingwa uzito wa welterweight na kuendeleza rekodi ya kutofungwa katika michezo 46 ya kimataifa na ameshangilia ubingwa wake kwa kuwashindanisha warembo kuhesabu `mkwanja` wake. Wakizitawanya: Mayweather akihesabu dakika, huku warembo wakishindana kuhesabu haraka dola laki moja kitandani kwa bondia huyo. Mmarekani huyo akiwa...
Published By: http://WWW.shaffihdauda.com/ - Yesterday
Previous
Next Post »