Upinzani watoa masharti magumu kushiriki Uchaguzi Mkuu 2015



Katika hotuba hiyo iliyobezwa na wachangiaji wa CCM kuwa imezungumzia Katiba badala ya Bajeti, Mbowe alisema wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), hawatarejea katika Bunge la Katiba mpaka watakapohakikisha kuwa maana halisi ya uwepo wa Bunge hilo unafuatwa.

KWA UFUPI
Mbowe alisema kama ilivyo kawaida, Serikali na CCM inaweza kupuuza tahadhari hizo na kulazimisha kwenda katika chaguzi hizo katika mazingira ambayo hayana mwafaka kama inavyoonekana sasa katika Mchakato wa Katiba Mpya
Previous
Next Post »